Ufafanuzi wa kidakatonge katika Kiswahili

kidakatonge

nominoPlural vidakatonge

  • 1

    kipande kidogo cha nyama kilichoko ndani ya kinywa chini ya shina la ulimi.

    kimio, kilimi

Matamshi

kidakatonge

/kidakatOngɛ/