Ufafanuzi wa kidari katika Kiswahili

kidari

nomino

  • 1

    (wa mtu au mnyama) sehemu ya mbele ya mwili; iliyo kati ya tumbo na shingo.

    ‘Nyama ya kidari’
    kifua