Ufafanuzi msingi wa kidau katika Kiswahili

: kidau1kidau2

kidau1

nominoPlural vidau

  • 1

    samaki wa mviringo mwenye magamba makubwa kidogo, agh. huelea juu ya maji.

Asili

Kar

Matamshi

kidau

/kidawu/

Ufafanuzi msingi wa kidau katika Kiswahili

: kidau1kidau2

kidau2 , kidawati

nominoPlural vidau

  • 1

    chombo kidogo, agh. cha kauri au plastiki, kinachotumiwa kutilia wino.

Matamshi

kidau

/kidawu/