Ufafanuzi wa kidazi katika Kiswahili

kidazi

nomino

  • 1

    ukosefu wa nywele kichwani.

    upara

Matamshi

kidazi

/kidazi/