Ufafanuzi wa kidhibitimwendo katika Kiswahili

kidhibitimwendo

nominoPlural vidhibitimwendo

  • 1

    kifaa otomatiki kinachotumika kupima na kuzuia kasi ya gari.

    spidigavana

Matamshi

kidhibitimwendo

/kiDibitimwendo/