Ufafanuzi wa kidindia katika Kiswahili

kidindia

kielezi

  • 1

    kwa muda mrefu bila kusimama.

    ‘Mvua inanyesha kidindia’

Matamshi

kidindia

/kidindija/