Ufafanuzi msingi wa kidingapopo katika Kiswahili

: kidingapopo1kidingapopo2

kidingapopo1

nominoPlural kidingapopo, Plural vidingapopo

  • 1

    aina ya homa ya kurudiarudia.

Matamshi

kidingapopo

/kidingapɔpɔ/

Ufafanuzi msingi wa kidingapopo katika Kiswahili

: kidingapopo1kidingapopo2

kidingapopo2

nominoPlural kidingapopo, Plural vidingapopo

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutafuta maneno ya watu na kuyapeleka kwingine.

    ‘Ni wajibu kumkosoa huyu kidingapopo’

Matamshi

kidingapopo

/kidingapɔpɔ/