Ufafanuzi wa kidinindi katika Kiswahili

kidinindi

kielezi

  • 1

    kwa kung’ang’ania bila ya kutoa nafasi.

    ‘Nilimshika kidinindi’

Matamshi

kidinindi

/kidinindi/