Ufafanuzi msingi wa kidogo katika Kiswahili

: kidogo1kidogo2

kidogo1

kivumishi

 • 1

  -enye idadi ndogo; -siyo kubwa.

  ‘Kitu kidogo’
  ‘Maji kidogo’
  katiti, chache, haba

Matamshi

kidogo

/kidOgO/

Ufafanuzi msingi wa kidogo katika Kiswahili

: kidogo1kidogo2

kidogo2

kielezi

 • 1

  kwa uchache.

  ‘Soma kidogo’

Matamshi

kidogo

/kidOgO/