Ufafanuzi wa kidokezo katika Kiswahili

kidokezo, kidokezi

nominoPlural vidokezo

  • 1

    habari inayotolewa au anayopata mtu kwa uchache.

  • 2

    habari au jambo linalosaidia kutoa fununu au njia ya kufumbua tatizo fulani.

  • 3

Matamshi

kidokezo

/kidOkɛzO/