Ufafanuzi wa kidole katika Kiswahili

kidole

nominoPlural vidole

 • 1

  kiungo kilicho katika ncha ya mikono au miguu.

  ‘Kidole cha kati’
  ‘Kidole cha mwisho’
  methali ‘Kidole kimoja hakivunji chawa’
  chanda

Matamshi

kidole

/kidOlÉ›/