Ufafanuzi wa kidudusi katika Kiswahili

kidudusi

nominoPlural vidudusi

  • 1

    kipele kinachotoka usoni.

    chunusi, dutu, chungu

Matamshi

kidudusi

/kidudusi/