Ufafanuzi wa kiduhushi katika Kiswahili

kiduhushi

nominoPlural viduhushi

  • 1

    mtu anayepeleleza mambo ya watu yasiyomhusu.

    mbeya, mdaku

Matamshi

kiduhushi

/kiduhu∫i/