Ufafanuzi wa kidunundu katika Kiswahili

kidunundu

nominoPlural kidunundu

  • 1

    samaki mwenye umbo kama kisanduku na mwenye pembe mbili na mdomo mrefu.

    ‘Mfupi kama kidunundu’

Matamshi

kidunundu

/kidunundu/