Ufafanuzi wa kidurango katika Kiswahili

kidurango

nominoPlural vidurango

  • 1

    mtu mfupi kuliko ufupi wa kawaida.

    mbilikimo, kibete

Matamshi

kidurango

/kidurangO/