Ufafanuzi wa kidutu katika Kiswahili

kidutu

nominoPlural vidutu

  • 1

    uvimbe mdogo unaotokea kwenye ngozi ya mtu, mnyama au kwenye mti sehemu za majani au magome.

    sugu

Matamshi

kidutu

/kidutu/