Ufafanuzi wa kifaa katika Kiswahili

kifaa

nominoPlural vifaa

  • 1

    kitu au chombo kinachotumika katika kufanyia kazi au kutekelezea kusudi fulani.

    zana, chombo

Matamshi

kifaa

/kifa:/