Ufafanuzi wa kifafa katika Kiswahili

kifafa

nominoPlural kifafa

  • 1

    ugonjwa umfanyao mtu kuanguka na kupoteza fahamu kwa muda huku anapigapiga mikono na miguu na kutoa povu kinywani.

Matamshi

kifafa

/kifafa/