Ufafanuzi msingi wa kifimbo katika Kiswahili

: kifimbo1kifimbo2

kifimbo1

nominoPlural vifimbo

  • 1

    samaki mwenye kivimbe cha duara, kichwa kirefu, rangi ya kijivu tumboni na buluu mgongoni, mkia wake umegawanyika sehemu mbili.

Matamshi

kifimbo

/kifimbO/

Ufafanuzi msingi wa kifimbo katika Kiswahili

: kifimbo1kifimbo2

kifimbo2

nominoPlural vifimbo

  • 1

    kipande cha ubao kirefu na cha mviringo cha kusukumia unga wa chapati au maandazi.

Matamshi

kifimbo

/kifimbO/