Ufafanuzi wa kifua katika Kiswahili

kifua

nominoPlural vifua

  • 1

    sehemu ya mbele ya mwili kati ya tumbo na shingo ambayo kuna mapafu na moyo ndani yake.

    kidari, sadiri

  • 2

    moyo shupavu.

Matamshi

kifua

/kifuwa/