Ufafanuzi wa kifuakikuu katika Kiswahili

kifuakikuu

nominoPlural kifuakikuu

  • 1

    ugonjwa wa kifua; ugonjwa unaoshambulia mapafu.

Matamshi

kifuakikuu

/kifuwakiku:/