Ufafanuzi wa kifuka katika Kiswahili

kifuka

nomino

  • 1

    mmea wenye maua mekundu na samawati.

Matamshi

kifuka

/kifuka/