Ufafanuzi wa kifukofuko katika Kiswahili

kifukofuko

nominoPlural vifukofuko

  • 1

    nyumba ambamo mtoto wa nondo au kipepeo hukaa wakati wa ukuaji wake.

Matamshi

kifukofuko

/kifukɔfukɔ/