Ufafanuzi wa kifundo katika Kiswahili

kifundo

nominoPlural vifundo

  • 1

    sehemu ya mwili ambapo mifupa inaungana na kutokeza.

  • 2

    uvimbe kama jipu unaotokeza mwilini.

Matamshi

kifundo

/kifundɔ/