Ufafanuzi wa kifungambuzi katika Kiswahili

kifungambuzi

nominoPlural vifungambuzi

  • 1

    nyasi zinazoota kufikia urefu wa karibu sentimita 30.

Matamshi

kifungambuzi

/kifungambuzi/