Ufafanuzi wa kifungio katika Kiswahili

kifungio

nominoPlural vifungio

  • 1

    kitu kinachotumika kufunga.

    kufuli

Matamshi

kifungio

/kifungijɔ/