Ufafanuzi msingi wa kifungo katika Kiswahili

: kifungo1kifungo2

kifungo1

nominoPlural vifungo

  • 1

    kitu kinachotumiwa kufungia vazi k.v. shati, gauni, suruali, koti, n.k..

    kishikizo

Matamshi

kifungo

/kifungɔ/

Ufafanuzi msingi wa kifungo katika Kiswahili

: kifungo1kifungo2

kifungo2

nominoPlural vifungo

  • 1

    adhabu ya mtu kuwekwa jela.

    ‘Kifungo cha maisha’

Matamshi

kifungo

/kifungɔ/