Ufafanuzi msingi wa kifungu katika Kiswahili

: kifungu1kifungu2

kifungu1

nominoPlural vifungu

  • 1

    kipimo cha noti za muziki kilichoko kati ya vigao viwili kinachoonyesha jumla ya mapigo ya mwendo wa muziki.

Matamshi

kifungu

/kifungu/

Ufafanuzi msingi wa kifungu katika Kiswahili

: kifungu1kifungu2

kifungu2

nominoPlural vifungu

  • 1

    ibara mojawapo ya matini ya sheria, katiba, mkataba, n.k..

Matamshi

kifungu

/kifungu/