Ufafanuzi wa kifupisho katika Kiswahili

kifupisho

nominoPlural vifupisho

  • 1

    kifupi cha maneno k.v. kama vile, mf.

  • 2

    mfano, n.k. na kadhalika.

Matamshi

kifupisho

/kifupiʃO/