Ufafanuzi wa kifusi katika Kiswahili

kifusi

nomino

  • 1

    mabonge ya udongo au vipande vya matofali vinavyotokana na ukuta uliobomoka.

  • 2

    fungu la udongo wa kujengea nyumba au barabara.

Matamshi

kifusi

/kifusi/