Ufafanuzi wa kifutio katika Kiswahili

kifutio, kifuto

nominoPlural vifutio

  • 1

    kipande cha mpira cha kufutia maandishi.

    raba

  • 2

    kipande cha kitambaa au aina ya kitambaa cha kufutia ubao.

    dasta

Matamshi

kifutio

/kifutijɔ/