Ufafanuzi wa kiga katika Kiswahili

kiga

nominoPlural viga

  • 1

    pingiti la mguu wa mnyama au mtu kati ya goti na nyonga.

    paja

Matamshi

kiga

/kiga/