Ufafanuzi wa kigaga katika Kiswahili

kigaga

nominoPlural vigaga

  • 1

    utandu mkavu wa kidonda kilicho karibu kupona.

    kikoko

  • 2

    uchafu, hasa wa kamasi zilizokauka puani.

    kikoko

Matamshi

kigaga

/kigaga/