Ufafanuzi wa kiganja katika Kiswahili

kiganja

nominoPlural viganja

  • 1

    sehemu ya mwisho ya mkono yenye vidole.

    kitengele, kitanga

Matamshi

kiganja

/kiganʄa/