Ufafanuzi wa kigaro katika Kiswahili

kigaro

nominoPlural vigaro

  • 1

    mkusanyiko wa watu wenye nia ya kumsema mtu vibaya au kumpangia jambo la kumdhuru au kumdharau na kumfedhehi.

Matamshi

kigaro

/kigarO/