Ufafanuzi wa kigasha katika Kiswahili

kigasha

nominoPlural vigasha

  • 1

    sehemu ya mkono tangu kiko mpaka kitanga.

    ‘Kigasha cha mkono’

Matamshi

kigasha

/kigaʃa/