Ufafanuzi msingi wa kigego katika Kiswahili

: kigego1kigego2

kigego1

nomino

  • 1

    mtoto anayezaliwa na meno yake tayari yameota.

  • 2

    mtoto ambaye meno yake ya juu huanza kuota kabla ya yale ya chini.

Matamshi

kigego

/kigɛgO/

Ufafanuzi msingi wa kigego katika Kiswahili

: kigego1kigego2

kigego2

nomino

  • 1

    mtu asiyetii analoambiwa.

Matamshi

kigego

/kigɛgO/