Ufafanuzi wa kigezo katika Kiswahili

kigezo

nominoPlural vigezo

 • 1

  kitu, mtu au jambo la kuigwa.

 • 2

  kielezi cha kushonea nguo.

 • 3

  fimbo au uzi wa kupimia.

  kipimo, rula, utepe

 • 4

  kanuni au sifa inayokubalika kama msingi wa kupimia au kutolea uamuzi wa jambo.

  mambo

Matamshi

kigezo

/kigɛzɔ/