Ufafanuzi wa kigingi katika Kiswahili

kigingi

nominoPlural vigingi

  • 1

    kipande cha mti kinachokitwa ardhini kwa ajili ya kushikilia kitu, kupimia au kufungia wanyama.

Matamshi

kigingi

/kigingi/