Ufafanuzi wa kigoe katika Kiswahili

kigoe, chogoe, kingoe

nominoPlural vigoe

  • 1

    fimbo yenye panda nchani inayoelekea chini inayotumiwa kuinamishia tawi la mti ili kuchuma matunda.

    kigovya, upembo, hangwe, chogoe, ugoe, kiopoo

  • 2

    fimbo ya kuchezea gofu.

Matamshi

kigoe

/kigOjɛ/