Ufafanuzi msingi wa kigogo katika Kiswahili

: kigogo1kigogo2

kigogo1

nomino

  • 1

    kipande cha mti.

Matamshi

kigogo

/kigOgO/

Ufafanuzi msingi wa kigogo katika Kiswahili

: kigogo1kigogo2

kigogo2

nomino

  • 1

    mtu mwenye madaraka makubwa ya kiutawala.

Matamshi

kigogo

/kigOgO/