Ufafanuzi wa kigoli katika Kiswahili

kigoli, kigori

nominoPlural vigoli

  • 1

    msichana ambaye bado hajavunja ungo.

Matamshi

kigoli

/kigOli/