Ufafanuzi wa kigutu katika Kiswahili

kigutu

nominoPlural vigutu

  • 1

    sehemu ya mkono au mguu iliyobaki baada ya sehemu nyingine kukatwa.

    ‘Kigutu cha mkono’

Matamshi

kigutu

/kiguta/