Ufafanuzi wa kigwe katika Kiswahili

kigwe

nominoPlural vigwe

  • 1

    pambo linalotengenezwa kwa uzi uliosokotwa na ambalo zamani lilivaliwa shingoni na wanawake.

  • 2

    alama, agh. ya ukambaa, anayofungwa shingoni au mguuni mnyama wa kufugwa ili asipotee au asichanganyikane na wanyama wa mtu mwingine.

Matamshi

kigwe

/kigwɛ/