Ufafanuzi wa kihadharishi katika Kiswahili

kihadharishi

nomino

  • 1

    kitu kinachotoa tahadhari kuhusu tukio au jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

kihadharishi

/kihaDariʃi/