Ufafanuzi wa kihame katika Kiswahili

kihame

nomino

  • 1

    kitu kinachohami au kukinga kitu kingine.

Matamshi

kihame

/kihami/