Ufafanuzi wa kihili katika Kiswahili

kihili

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    chuna ngozi na kutoa matumbo k.v. mnyama baada ya kuchinjwa.

Matamshi

kihili

/kihili/