Ufafanuzi wa kihusishi katika Kiswahili

kihusishi

nominoPlural vihusishi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno linaloonyesha uhusiano baina ya neno moja na neno au maneno mengine katika tungo au kati ya sentensi moja na nyingine.

Matamshi

kihusishi

/kihusiʃi/