Ufafanuzi wa kiila katika Kiswahili

kiila

kiunganishi

kizamani
  • 1

    kizamani neno linalotumika kutengua taarifa iliyosemwa mwanzoni.

    ‘Habari inasema kuwa fulani alipigwa, kiila aliuawa hasa’

Matamshi

kiila

/ki:la/