Ufafanuzi wa kiingilio katika Kiswahili

kiingilio

nominoPlural viingilio

  • 1

    ada au malipo ya kuingia mahali fulani k.v. kwenye mchezo wa mpira, tamasha au kujiunga na chama au kujiandikisha mahali k.v. shuleni au kwenye klabu.

Matamshi

kiingilio

/ki:ngilijɔ/